Marehemu Sharo Milionea enzi ya uhai wake
Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Police kwa tuhuma za kumkata vidole na kumuibia marehemu Sharo Milionea baada ya kupata ajali ya gari na kupoteza maisha.
Kwa mujibu wa www.leotainmenttz.com watu hao wamekutwa na vitu alivyokuwa navyo marehemu Sharo Milionea kama vile T-shirt, Viatu, Simu ya mkononi, Pete, Cheni, Tairi moja la gari , pamoja na Battery la gari ambalo marehemu alipata nalo ajali.
Taarifa za awali zinasema watuhumiwa hao walikuwa sita lakini wamekamatwa wanne hadi sasa, na jeshi la Polisi linaendelea kuwasaka watuhumiwa wawili.
Sharo Milionea enzi ya uhai wake
Nov 30, 2012
Nov 25, 2012
MSANII WA FILAMU NCHINI TANZANIA AFARIKI DUNIA
Msanii wa filamu nchini Tanzania John Stephano
Maganga afariki dunia jana katika hospital ya Muhimbili kutokana na Ugonjwa wa
KONGOSHO ambao ulikuwa ukimsumbua kwa mda mrefu.
Hali ya Marehemu ilibadilika na kuvimba tumbo ghafla, hali iliyopelekea kufanyiwa Upasuaji ili kuokoa Maisha yake lakini ilishindikana na hatimaye kupoteza uhai wake.
Msiba wa Marehemu John Stephano Maganga uko nyumbani kwao Mwananyamala na taarifa za mazishi zitatolewa
Enzi za uhai wake marehemu aliwahi kuigiza filamu kama Mrembo kikojozi, Chanzo ni mama , Barmaid na nyinginezo.
Marehemu John(aliekaa chini katikati) enzi za uhai wake akiwa kaziniHali ya Marehemu ilibadilika na kuvimba tumbo ghafla, hali iliyopelekea kufanyiwa Upasuaji ili kuokoa Maisha yake lakini ilishindikana na hatimaye kupoteza uhai wake.
Msiba wa Marehemu John Stephano Maganga uko nyumbani kwao Mwananyamala na taarifa za mazishi zitatolewa
Enzi za uhai wake marehemu aliwahi kuigiza filamu kama Mrembo kikojozi, Chanzo ni mama , Barmaid na nyinginezo.
Marehemu John enzi za uhai wake akiwa katika scene ya mawazo
Nov 23, 2012
MSANII IZZO B AJA NA INTERNATE & STATIONARY BAADA YA DUKA LA NGUO HUKO JIJINI MBEYA
DUKA JIPYA LA IZZO B
Msanii wa Hip hop nchini Tanzania Izzo Buzness (Izzo B) aja na biashara nyingine itakayoanza hivi karibuni yenye jina la Izzo Bizness Internate & Stationary amabayo itakuwa inapatikana mitaa ya Teku University Mbeya.
Hii ni biashara yake ya pili baada ya duka la nguo ambalo linafanya vyema sana huko jijini Mbeya na ndiko anakotokea ama ni msanii mkubwa mmoja wapo anaeuwakilisha mkoa huo katika game la muziki wa kizazi kipya(Bongo fleva).
IZZO B

Nov 9, 2012
Nov 8, 2012
PICHA ZA JAMAA AKIONEKANA AMENASA MWILI AKIWA ANAFANYA MAPENZI NA MKE WA MTU.
Jamaa(Juu) ndie alieganda akiwa na Mke wa mtu(Chini).
Jamaa mmoja afumaniwa akiwa na Mke wa mtu wakivunja amri ya sita (Husizini) katika nyumba ya wageni iliopo Temeke jijini Dar es Salaam. Na kufanya tukio hili leo kuwa gumzo jiji zima na kuwafanya watu toka maeneo mbalimbali ya jiji kujaa katika hospitali ya Temeke amabako wawili hao wamepelekwa kwa nia ya kuwatenganisha kutokana na kugandiana wakiwa wanafanya tendo hilo.
Hivyo basi kutokana na wao sio mke na mume halali wamenasiana kutokana kuwa Mke huyo alikuwa amefungwa kwa njia za kijadi na Mumwewe bila Mwanamke huyo kujua ili hasiweze kutembea na Mwanaume yeyote ila Mumewe tu.
Kutokana na tukio hili watu hao walipelekwa katika hospitali ta Temeke kwa lengo la kuwatenganisha, ila cha kushangaza unasuaji huo umeshindikana kutokana na PASSWORD iliotumika kuwafunga watu hao ni ya kijadi na hospitali haiwezi kuwatenganisha labda wataalamu wa Jadi( Waganga) au Mumewe huyo Mwanamke ndie anaehusika kwa kiasi kikubwa.
Kwa upande wa Mume wa huyo Mwanamke aliefumaniwa amedai kuwa hadi apewe Milioni 5 ndio aweze kuwatenganisha watu hao la sivyo atawaacha hivyo hivyo.
kwa taarifa zilizotufikia JICHO LAKO zinasema kuwa watu hao inasemekana wamefariki na kuhifadhiwa katika chumba cha mahiti hospitalini hapo.
Jamaa akijivinjari na Mke wa Mtu na kujikuta kanasa hapo hapo
Wakazi wa Jiji la Dar wakiwa wamefulika katika hospitali ya Temeke wakishuhudia tukio hili leo.
Polisi wa kutuliza gasia nao walikuwepo katika tukio hilo lengo ni kuwatawanya watu waliofulika hospitalini hapo kushuhudia wapenzi waliogandiana

Subscribe to:
Posts (Atom)