Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (watatu kushoto)
akimpongeza mchezaji wa riadha wa Mambo ya Ndani Sports Klabu baada ya kumvisha
medali mchezaji huyo katika hafla ya kufunga Mashindano ya Shirikisho la
Michezo ya Wizara na Idara za Serikali
(SHIMIWI), yaliyomalizika mwishoni mwa
wiki mjini Dodoma. (Picha na Kitengo cha
Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi kikombe cha
ushindi Kapteni wa timu ya Kuvuta Kamba
Wanaume ya Mambo ya Ndani Sports Klabu baada ya timu hiyo kuibuka mshindi wa
pili katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), yaliyomalizika
mwishoni mwa wiki mjini Dodoma. (Picha
na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Wachezaji
wa timu ya Mambo ya Ndani Sports Klabu wakipita kwa maandamano mbele ya Jukwaa
Kuu la Mgeni rasmi Dkt. Rehema Nchimbi
ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kufunga Mashindano
ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara
za Serikali (SHIMIWI),
yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi).
Mgeni
rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi (kulia)akisalimiana
na wachezaji wa timu ya mchezo wa Kuvuta Kamba ya Mambo ya Ndani Sports Klabu,
alipokuwa akikagua timu za michezo zilizoshiriki Mashindano ya Shirikisho la
Michezo ya Wizara na Idara za Serikali
(SHIMIWI), yaliyomalizika mwishoni mwa
wiki mjini Dodoma. (Picha na Kitengo cha
Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (watatu
kushoto-waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Mambo ya Ndani
Sports Klabu baada ya kutwaa vikombe vitatu na medali 3, mbili zikiwa za
dhahabu na moja ya fedha katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara
na Idara za Serikali (SHIMIWI), yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.
Kushoto kwa Katibu Mkuu ni Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo Nigel Msangi. (Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano ya
Serikali, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
No comments:
Post a Comment