Wanausalama wakijadiliana jambo baada ya kupoa
kwa mapigano kati ya jeshi la Kenya na magaidi katika jengo hilo.
Sep 27, 2013
JINSI WESTGATE LILIVYO SASA BAADA YA JENGO LA GHOROFA 3 KUPOROMOKA
Pata habari kwa picha juu ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa 3 ndani ya Westgate Nchini kenya ambalo lilishambuliwa na magaidi ambao waliweza kuuwa watu takribani 67, majeruhi 175 na mateka kadhaa amabao baadae waliokolewa .Tukio hili liliweza kudumu kwa siku tatu na baadae kizimwa na Jeshi la Kenya kwa kuwauwa magaidi takribani 5, na kuwakamata wengine.
PICHA ZA NICK MINAJI AKIWA KATIKA KIVAZI CHA UTATA
Msanii wa Hip hop nchini Marekani ajulikanae kama Nick Minaji ametoa kituko kingine baada ya kuonekana akikatiza na kinguo ambacho kiliweza kuacha sehemu za kifua chake wazi.
Hii imekuwa kawaida ya Mastaa ulimwenguni kote kutafuta njia au kitu kitakachowafanya wazungumziwe mara kwa mara vinywani mwa watu ili kazi zao ziweze kufanikiwa au kama ni albam basi iweze kuuzika.
Hebu muangalie katika picha hizi hapo chini....

NAIBU WAZIRI MHANDISI GERSON LWENGE AFUNGA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI LEO JIJINI MWANZA
Naibu
Waziri wa Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge amefunga wiki ya kwenda kwa usalama leo
hii Jijini Mwanza baada ya kufunguliwa mwanzoni mwa wiki hii na Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.
Kauli
mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “USALAMA BARABARANI UNAANZA NA MIMI, WEWE
NA SISI SOTE”.
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Wizara
ya Ujenzi, Mhandisi Gerson Lwenge, akitoa hotuba ya kufunga Maadhimisho ya Wiki
ya Nenda kwa Usalama Barabarani leo yaliyokuwa yakiadhimishwa Kitaifa katika
Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza Usalama Barabarani, Pereira
Ame Silima, kulia ni Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP
Mohamed Mpinga. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
ZIJUE KAULI 10 ZA WALIMU WANAPOKUWA DARASANI
1: Mkimaliza kuongea, niambieni niendelee kufundisha.
2: Baba yako aliuza ng'ombe ili usome we unaendekeza mapenzi tu.
3: Kama unajua kuliko mimi, njoo ufundishe wewe.
4: Ulikuja peke yako na utaondoka peke yako.
5: Hata msipoelewa, mie mshahara wangu uko pale pale.
6: Haya upande huu sema haraka nani anaeongea wakati mie nafundisha?.
7: Hata nikeshe nafundisha, wengine ni mizigo hawatoki na lolote.
8: Bichwa lako kubwa lipo kwa ajili ya kutenganisha masikio yako tu.
9: Najua kuwa hapa nafundisha lakini kule nyuma hata hamnisikilizi.
10: Wengine hapa wamekuja kukua tu na mtafeli mpaka mshukuru.
Sep 26, 2013
YAJUE MASWALI YANAYOULIZWA MARA NYINGI KWENYE USAILI WA KAZI
1. Why
do you want this job?
One of the most predictable questions and very important! You need to demonstrate that you have researched the employer and tie your knowledge of them into the skills and interests that led you to apply. For example, an interviewee with a small public relations agency might say:
"I'm always ready to take on responsibility and feel this will come more quickly with a firm of this size. A small firm also gives the chance to build closer working relationships with clients and colleagues and I've found through my past work experience that this makes an organisation more effective as well as more satisfying to work in."

MTOTO WA GENERALI WA JESHI NCHINI CHINA AENDA JELA MIAKA 10 KWA UBAKAJI.
Li
Tianyi(17)
Mahakama ya Haidian Kaskazini Magharibi mwa Beijing, imemuhukumu miaka
10 kwenda gerezani mtoto wa mmoja wa Majenerali wakuu wa Jeshi la China
ajulikanae kama Li Tianyi(17) kwa kosa la ubakaji alilofanya mwezi Februari akiwa
na wenzie wanne.
Kwa mujibu wa “Bbc Swahili” inasema
kuwa, kijana huyu sio mara ya kwanza kuhusika katika tukio ambalo
limeghadhabisha umma. Kwani mara kwa mara amekuwa ni kijana mkolofi sana mpaka
kupelekea kuchukiwa na wakazi wa Nchi hiyo.
Kama vile mnamo mwaka 2011, aliweza kuzuiliwa
kwa mwaka mmoja baada ya tukio moja la barabarani alipokuwa anaendesha gari ambalo
halikuwa na nambari ya usajili, pamoja na kuwatolea maneno machafu mtu na mkewe
waliokuwa ndani ya gari lao na kupelekea umma kushangazwa na tabia yake hiyo.
Inasemekana kuwa ni desturi kwa watoto wa watu mashuhuri nchini
china kuvunja sheria hadi kuzalisha hasira miongoni mwa watu wanaowaona ni kama
wasio na maadili na wenye kuhujumu sheria.
Subscribe to:
Posts (Atom)